Habari kuhusu Dini kutoka Disemba, 2013
Hali ya Uhuru wa Dini Nchini Maldivi
Maldivi ni miongoni mwa nchi za kwanza kwenye orodha ya serikali zinazozuia uhuru wa dini. Ni lazima raia Wamaldivi wawe Waislamu, na hawawezi kufuata dini yoyote isipokuwa Uislamu. Wageni wasio...