Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Machi, 2014
Ukuta Wetu wa Berlin Nchini Syria
"Wanafunzi wa Syria kwa mustakabali bora" ni blogu ya wnafunzi wa Syria wanaofadhiliwa, ambao wanaitumia kujadili matumaini yao, kukumbuka nyumbani, wasiwasi, mashaka, mitazamo chanya na matumaini kwa Syria iliyo bora.
Umoja wa Ulaya Wachapisha Utafiti wa Kina Kuhusu Ukatili Dhidi ya Wanawake
Nchi za Ulaya Kaskazini ni miongoni mwa zile zenye kiwango cha juu kabisa cha udhalilishaji wa wanawawake: Denmark (52%), Finland (47%) na Sweden (46%).
Kuchanwa kwa Korani Kwaleta Tafrani Nchini Mauritania
The Mauritanian capital Nouakchott witnessed violent clashes between security forces and an angry crowd after people tore up a copy of the Quran. One person was killed in the clashes.
Video: Usambazaji Vyakula katika Kambi ya Yarmouk-Syria
Shirika la habari la FAJER liliweka mtandaoni video ya kambi ya wakimbizi ya Yarmouk mjini Damascus wakati wa kupokea mgawo wa chakula cha kuwalisha wakazi 18,000 wa kambi waliobaki, ambao wamelazimishwa kula wanyama waliopotea ili kuokoa maisha yao wakati huu ambapo kuna uhaba mkubwa wa chakula. Video ni ya tarehe...
“Iran haiwezi kuufungia Mtandao wa Facebook Milele”
Waziri wa Utamaduni na Ulinzi wa Uislamu wa Iran, Ali Jannati, alisema “Iran haiwezi kuufungia Mtandao wa Facebook milele.” Maofisa kadhaa wa Iran kama Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Kigeni, hutumia mitandao ya Twita na Facebook hata wakati tovuti hizo zimefungiwa nchini Iran.
Aliyoyaandika Waziri Mkuu wa Urusi Medvedev Kwenye Mtandao wa Facebook Kuhusu Ukraine
Waziri Mkuu wa Urusi Medvedev amechagua eneo lisilotarajiwa kusemea tamko lake kuhusu Yanukovich na namna anavyoiona hali ya uongozi wa kisiasa iliyopo Ukraine.