Habari kuhusu Mazingira kutoka Novemba, 2016
Duterte ni Nani? Mjadala wa Kina
Amemwita Rais wa Marekani Obama mtoto wa kahaba. Vita yake dhidi ya madawa ya kulevya imeua maelfu ya watu. Lakini huo ni upande mmoja tunapomzungumzia Rais wa Ufilipino Duterte.