Habari kuhusu Mazingira kutoka Septemba, 2014
Huduma za Afya nchini Madagaska Zinaweza Kukabiliana na Mlipuko wa Ebola?
Nchi kumi na tano za Afrika ikiwemo Madagaska ziko kwenye hatari zaidi ya maambukizi ya Ebola kwa sababu zina mazingira yanayofanana na yale ya nchi zilizoathirika. Waziri Mkuu anasema Madagaska imejiandaa lakini wengine wana wasiwasi
Filamu Yaonesha Namna Kabila Dogo Linavyojaribu Kuwazuia Wakata Misitu Kuharibu Mazingira
Sunset Over Selungo ni filamu ya dakika 30 inayoonesha namna kabila la wenyeji la Penan linavyopigania kutunzwa kwa misitu ya asili kwenye kisiwa cha Borneo nchini Malaysia. Borneo ni kisiwa...
Uchafu Kutoka Viwandani Waua Mamia ya Ndege wa Porini Nchini Mongolia
Zaidi ya ndege wa majini 500 wameonekana wakiwa wamekufa katika eneo la maziwa nchini Mongolia tangu kuanza kwa majira ya kipindi cha joto kutokana na maji kuchafuliwa. Maji hayo machafu,...
Nzige Wavamia Mji Mkuu wa Madagaska
#valala pic.twitter.com/YHzOx5Q8QU — Vaintche Rahouli (@vincraholi) Agosti 28, 2014 Watumiaji-mtandao wa Twita na Facebook kutoka mji mkuu wa Madagaska, Antananarivo, wamepachika picha kadhaa za nzige wakivamia mji. Uvamizi wa nzige...
Watu 12 Hufa na Waniger 27,000 Huachwa Bila Makazi Kutokana na Mafuriko
Mvua kubwa na mafuriko nchini Niger yamewaua watu 12 na kuacha maelfu bila makazi. Mito katika Niamey na maeneo ya karibu imefurika na kuharibu maelfu ya nyumba. Katika kanda, uharibifu wa...