· Januari, 2014

Habari kuhusu Mazingira kutoka Januari, 2014

Kuokoa Maisha ya Tembo huko Laos

  26 Januari 2014

Kwa sasa, kuna mamia kadhaa tu ya Tembo nchini Laos, nchi ambayo mwanzoni ilijulikana kama 'nchi ya mamilioni ya tembo'. Makundi ya wapigania haki za wanyama wapaza sauti zao ili kulinda uhai wa tembo.