Habari kuhusu Mazingira kutoka Oktoba, 2013
Yemeni: Bundi Atua Nje ya Dirisha Langu
Mwanablogu wa Yemeni, Abdulkader Alguneid amkuta bundi nje ya dirisha lake: Kupitia mtandao wa Twita, anaelezea tukio hilo ambalo ni nadra sana kutokea: بومة كبيرة خلف زجاج نافذتي، 1.30 بعد...
Hong Kong: Pinga Biashara ya Pembe za Ndovu
Muungano wa watu binafsi na Asasi Zisizo za Serikali zinazoguswa na tatizo la ujangili wa tembo, Hong Kong kwa Tembo, uliandamana Oktoba 4, wakiitaka Hong Kong kuteketeza hifadhi yake ya tani 25 za pembe za ndovu.
#EauSecours: AlamaHabari ya Kufanyia Mzaha Tatizo la Maji Dakar, Senegal
Dakar, mji kuu wa Senegal, umekumbwa na uhaba wa maji kwa siku 15 zilizopita [fr]. Wa-Senegali katika mitandao ya kijamii wanazoea tatizo hili kwa kufanyiana utani na uvumilivu. AlamaHabari (Hashtag)...