Habari kuhusu Mazingira kutoka Septemba, 2013
Vumbi la Uchafuzi wa Mazingira Larudi Nchini Indonesia
Vumbi linalosababishwa na uchafuzi wa mazingira ni tatizo la mara kwa mara katika eneo hilo linalosababishwa zaidi na matukio ya moto wa msituni nchini Indonesia.