· Januari, 2011

Habari kuhusu Mazingira kutoka Januari, 2011

Dunia ya Uarabu: “Acheni Kulia Juu Sudani”

  31 Januari 2011

Kura ya maoni kwa ajili ya uhuru wa Sudani ya Kusini leo imeiweka nchi hiyo kwenye uangalizi wa karibu miongoni mwa watumiaji wa twita wa Kiarabu. Kuanzia Saudi Arabia mpaka Palestina, watumiaji Twita wa Kiarabu wanajadiliana kuhusu mshikamano, kugawanyika na rasili mali za Sudani.