· Januari, 2009

Habari kuhusu Mazingira kutoka Januari, 2009

Malaysia: Mafunzo Yanayotokana na Mafuriko

Wiki iliyopita, mafuriko yaliyakumba maeneo mbalimbali katika jimbo la Sarawak nchini Malaysia. Wanablogu wanaandika yaliyotukia na mafunzo yaliyotokana na janga hilo la mafuriko. Mafuriko hayo ni mabaya zaidi kutokea katika miaka mingi nchini Malaysia.

21 Januari 2009