· Januari, 2013

Habari kuhusu Elimu kutoka Januari, 2013

Jukwaa la Kiafrika Lenye Makala za Bure za Kitaaluma

Waandamanaji wa Hangari Wafunga Daraja, Wanafunzi Watatu Watiwa Nguvuni.

Harakati za maandamano ya wanafunzi zinaendelea nchini Hangari. Usiku wa Jumatano, waandamanaji walizingira daraja la Budapest na wanafunzi watatu waliishia kuwekwa kizuizini na polisi.