Habari kuhusu Elimu kutoka Januari, 2010
Kenya: Kiswahili Kuwa Somo La Kuchagua
Bunmi anaandika kuhusu uamuzi wa kulifanya somo la Kiswahili kuwa la kuchagua nchini Kenya: “Somo hili halitakuwa tena na mtihani wa lazima katika mtihani wa taifa wa darasa la nane…”