· Disemba, 2013

Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Disemba, 2013

Mandela 1918 – 2013

6 Disemba 2013

Nelson Mandela, rais wa kwanza wa ki-Afrika wa Afrika Kusini aliyehusika kwa kiasi kikubwa kuutokomeza ubaguzi wa rangi nchini humo, amefariki Alhamisi, Desemba 5, 2013 akiwa na umri wa miaka 95. Mzalendo huyo aliyetokea kupendwa sana na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, ambaye hujulikana pia kwa jina la...

Taiwan: Maandamano Dhidi ya Sheria Juu ya Usawa Kwenye Ndoa

  3 Disemba 2013

Wabunge wa Yuan nchini Taiwan walipitisha muswada wa kwanza ya “Usawa kwenye Ndoa“ [zh] mnamo Oktoba 25, 2013. Novemba 30, zaidi ya watu 300,000 walipinga muswada huu, hasa dhidi ya pendekezo juu ya ndoa za jinsia moja. J. Michael Cole, mwandishi wa habari wa kujitegemea mkaazi wa Taipei, alielezea kile...

China: Jukumu la Baba

  2 Disemba 2013

Mtandao wa Offbeat China umeanzisha kipindi kipya na maarufu cha televisheni kinachojulikana kwa jina la “Baba, tunaelekea wapi?”. Kipindi hicho kinawakutanisha akina baba watano maarufu pamoja na watoto wao kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali za nje kwa lengo la kushindana na bila ya uwepo wa wake zao. Hapa chini,...

Ufisadi: Tishio kubwa kwa uhuru wa kujieleza Barani Amerika ya Kusini

  1 Disemba 2013

Katika miaka 20 iliyopita, waandishi wa habari 670 wameuawa katika Amerika ya Kusini na Caribbean,kwa mujibu wa wajumbe kutoka muungano wa IFEX-ACL, ambayo hivi karibuni iliwasilisha Ripoti ya Mwaka juu ya Ukatili 2013 iliyosema: “Nyuso na Mabaki ya Uhuru wa Kujieleza Amerika ya Kusini na Caribbean.” Uhalifu – ambao nyingi bado...