Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Juni, 2018
Ripoti ya Raia Mtandaoni: Sheria ya Uganda ya Kodi ya WhatsApp na Kadi za Simu Itafanya Iwe Vigumu Kuendelea kutumia Mtandao

Taarifa ya Watumiaji wa Mtandao inakuletea muhtasari wa changamoto, mafanikio na mambo yanayojitokeza kuhusiana na haki za Mtandao duniani kote.
Miongo Minane Chuki Bado Ipo Kati ya Wajordani na Wapalestina
Ingawa kuishi pamoja kwa watu wawili huwafanya wawe na amani, ushirikiano mkamilifu bado haujawezekana kwenye baadhi ya maeneo ya maisha.