Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Machi, 2017
Wewe ni Mwanasiasa Mbovu Mexico? Unaweza Kurushiwa Nyanya Usoni
Mwanahaakati na mtumishi wa umma wa zamani nchini Mexico anaongoza kampeni isiyozoeleka ya kuwa kuchafua nyuso za wanasiasa kama namna ya kuonesha kutokuridhika na mienendo yao
Donald Trump Alikuwa Sahihi: Wa-Irani Wana Tabia ya Kucheza na Moto
Sherehe za kale nchini Iran za kucheza na moto, zinazoitwa Chaharshanbe Suri, zimethibitisha kuwa Donald Trump alikuwa sahihi -ingawa bila kujua - pale alipoituhumu Iran hivi karibuni kwa "kucheza na moto."
Sura 12 za Mwanamke wa ki-Ganda
Kuanzia kwa shujaa wa mchezo wa chesi aliyezaliwa 'uswahilini' mpaka spika wa bunge. Wote wanaenziwa.
Kutoka Naijeria “Muinjilisti wa Utamaduni” Anaeneza Lugha za Ki-Afrika Kwa Kutumia Zana Tumizi Za Simu na Usimuliaji wa Hadithi Kidigitali
"Technology offers the best form of creative approach to preserving native languages. It aids the process of documentation, collaboration between language experts, offers a wide array of distribution medium etc."
Msichana wa Afrika Kusini Anayeishi na VVU Aamua Kutokuficha Hali Yake
Watumiaji wa mtandao wa Twita duniani kote wanamsifia Saidy Brown, msichana wa miaka 22 wa Afrika Kusini, aliyetumia mtandao wa Twita mwezi uliopita kutangaza kuwa ameathirika na VVU.