Habari kutoka Podikasti za Global Voices kutoka Oktoba, 2016
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Anahitaji Kutendewa Haki
Wiki hii, tunakuletea wanawake wanaosaka au wanaopata haki zao nchini Poland, Uruguay, Urusi na Syria.
Matangazo ya ‘Kwa Kina': Kura ya Hapana kwa Amani ya Colombia
Wiki hii, tunakuletea habari za kina kuhusu sababu ya raia wa Colombia kupiga kura ya hapana kupinga mkataba wa amani ambao ungemaliza vita vilivyodumu kwa zaidi ya miaka 50.