Habari kuhusu Majadiliano kwa Dunia Bora kutoka Februari, 2010
Kadri Liberia inavyotulia, vijana waanza kuzungumzia ngono
Kadri Liberia inavyoendelea kutoka kwenye vita ya kutisha ya wenyewe kwa wenyewe, wengi wanahofu mchanganyiko wa umaskini uliokithiri na maamuzi yenye hatari ya ngono vitaongeza kiwango cha VVU/UKIMWI na idadi ya mimba zisizotarajiwa.