Habari kuhusu Wasifu wa Wanablogu kutoka Aprili, 2011
Wanablogu wa Kenya Waunda Umoja; BAKE
Mnamo tarehe 25 Machi, wanablogu kadhaa wa Kenya walifanya mkutano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Nairobi, mkutano uliitishwa na BAKE (Bloggers Association KEnya). Huo ulikuwa mkutano wa 4 uliotokana na msukumo wa wanablogu wakongwe wa Kenya.