Habari kuhusu Kiebrania kutoka Julai, 2012
Basi la Watalii Raia wa Israeli Lashambuliwa Nchini Bulgaria
Watu wapatao saba wameuawa katika shambulio la la kijana wa Kiyahudi katika basi la kitalii lililokuwa katika uwanja wa ndege wa Burgus nchini Bulgaria. Ripoti zinadai shambulio linaonekana kuwa la kujitolea mhanga, lililofanywa na kijana alikuwa ama karibu na basi au alikuwa ndani ya basi.