Habari kuhusu Kifilipino kutoka Novemba, 2015
Jamii ya Lumad Nchini Ufilipino Yasimama Kidete dhidi ya Uonevu
“Jeshi la Ufilipino liliharibu shule yetu. Pia, lilichoma majengo ya ushirika wetu wa kilimo. Nilijikuta nimefungwa gerezani na sasa nimeshitakiwa kwa kusingiziwa kosa la utekaji. Tuna hamu ya kuipata tena ardhi yetu tuliyoirithi kutoka kwa mababu zetu."