Victoria Munene · Juni, 2012

I am a graduate from the United States International University(USIU -Kenya). My profession is marketing and I have a passion of event organizing and management. I like to consider myself a people's person who appreciates the diversity of this world. I also appreciate that all work without play makes Wangari a dull girl, so I love to travel and dance as ways of venting out.
I have joined this network as I hope to make use of the Swahili knowledge I have and also to help GV meet some of its objectives. I look forward to a mutually rewarding and satisfying relationship on both sides.
My motto is:’ Passion in Everything I do’
The principle that guides me is:’ If you have to do something do it well’.

Anwani ya Barua Pepe Victoria Munene

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Victoria Munene kutoka Juni, 2012

Umuhimu wa Kongamano La Sauti za Dunia (Global Voices Summit) hapa Nairobi

Kuanzia tarehe mbili mwezi wa Julai hadi tarehe nne mwezi huo huo, familia ya Sauti za Dunia (Global Voices, GV) pamoja na washiriki wao wa...

Kenya: Intani walipwe au wasilipwe?

Mada hapa ni kuhusu kama inafaaa au haifai kwa intani kulipwa,mjadala ulioanzishwa na @RobertAlai.

Brazili: Jarida Lawapa Nafasi Wasio na Makazi

Jarida la Ocas linalosambazwa katika mitaa ya mjini São Paulo pamoja na Rio de Janeiro tangu 2002, ni jarida ambalo husheheni habari ambazo hulitofautisha na...

Kenya: Wanaharakati wapigana vita dhidi ya ufisadi kwa intaneti

I Paid a Bribe ni njia mojawapo inayotumiwa na wanaharakati dhidi ya ufisadi nchini, kwa kutumia teknolojia mpya ili kuwawezesha kupata ripoti za utoaji wa...

Kitabu kipya cha michezo ya watoto kutoka nchi mbalimbali

Marekani: Kumbukumbu la Walters Art lachapisha Mkusanyiko wa Picha