Rose Kahendi · Novemba, 2013

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Rose Kahendi kutoka Novemba, 2013

“Nchi” Nzuri ya Afrika

Katika toleo la wikii hii la Brainstorm, jarida la mtandaoni la Kikenya, Brenda Wambui hulaani masimulizi ya sasa kuhusu Afrika: “Afrika ni nchi”, “Afrika inapaa”, ‘”Mitindo ya Kiafrika.” Huchunguza jinsi Wakenya wanavyoweza kukomboa simulizi lao na kujiainisha kwa kuweka masharti yao wenyewe: Kama wenyeji wa Kenya ama nchi nyingine ile,...