Rose Kahendi · Machi, 2013

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Rose Kahendi kutoka Machi, 2013

Ramani za Mpaka wa Kikoloni wa Sudan Kusini Ziko Wapi?

Joseph Edward anazungumzia kupotea kwa ramani za mpaka wa Sudan Kusini za enzi za ukoloni: “Majadiliano yameibuka kuhusu ramani ambazo zilidaiwa kuchukuliwa na Waingereza baada ya Sudan kupata uhuru mnamo mwaka wa 1956. Huku baadhi a watu wanaamini kwamba nyaraka hizo za kihistoria zinaweza kupunguza migogoro ya mpaka inayoendelea, watafiti...