makala mpya zaidi zilizoandikwa na Joyce Maina kutoka Novemba, 2013
Iran:Raia wa Mtandaoni Wanane Wakamatwa
Mamlaka ya Iran ilitangaza kuwa raia wa mtandaoni wanane ikiwa ni pamoja na mwanamke mmoja walikamatwa katika Rafsanjan, katika Mkoa wa Kerman, kwa madai ya “kutusi utakatifu wa Kiislamu na...
Kuwaokoa Akina Mama na Watoto Nchini Laos
Kundi la CleanBirth.org lina nia ya kuboresha hali ya huduma ya afya ya uzazi katika baadhi ya vijiji vya Laos vijijini kwa kutoa vifaa vya kuzalisha, mafunzo ya wauguzi wapya...
Ufuatiliaji wa Upendeleo Kwenye Vyombo vya Habari Nchini Malaysia
Tessa Houghton anashiriki matokeo ya utafiti ambao ulifuatilia upendeleo katika vyombo vya habari nchini Malaysia wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 13 miezi michache iliyopita: Wananchi wa Malaysia ambao walitegemea Kiingereza...
PICHA: Mafuriko Makubwa Katika Mji Mkuu wa Ufilipino
Dhoruba kali ya ki-Tropiki iliikumba Filipino na kusababisha mafuriko makubwa jijini Manila na katika majimbo ya karibu. Zaidi ya watu nusu milioni wameathirika na dhoruba hiyo
Sherehe ya ‘Siku ya Makazi Duniani’ Nchini Cambodia
Zaidi ya Wa-Cambodia 500 walijiunga na maandamano wakati wa maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani katika Phnom Penh kuonyesha kufukuzwa kwa nguvu na migogoro ya ardhi nchini.