Am a Kenyan citizen living in Nairobi. Graduated in tourism and currently working as a Tour Operator.
makala mpya zaidi zilizoandikwa na Joyce Maina kutoka Septemba, 2014
Jinsi Wanablogu Walifikia Gerezani kwa Kuandika Kuhusu Haki za Binadamu Nchini Ethiopia
Melody Sundberg anachambua uhuru wa kujieleza nchini Ethiopia baada ya wanablogu wa Ethiopia waliokamatwa kukaa siku 100 gerezani: Ethiopia ina idadi ya watu 94,000,000 na ni nchi ya pili yenye wakazi wengi katika bara la Afrika. Hata hivyo, hailingani na mahojiano ya Endalkhachew Chala kupitia Global Voices, kuwa na gazeti...
Je Kulikuwa na Jaribio la Mapinduzi Nchini Lesotho?
Sikiliza sauti inayoelezea kile hasa kinachoendelea nchini Lesotho kufuatia madai ya mapinduzi ya kijeshi: Waziri mkuu amekimbilia nchini Afrika Kusini na anasema ni mapinduzi ya kijeshi. Jeshi la Lesotho linasema sio mapinduzi. Siasa zinazua utata. African Defence Review inazungumza na KRISTEN VAN SCHIE wa SADC na mwandishi DARREN OLIVIER kuuliza...
Nzige Wavamia Mji Mkuu wa Madagaska
#valala pic.twitter.com/YHzOx5Q8QU — Vaintche Rahouli (@vincraholi) Agosti 28, 2014 Watumiaji-mtandao wa Twita na Facebook kutoka mji mkuu wa Madagaska, Antananarivo, wamepachika picha kadhaa za nzige wakivamia mji. Uvamizi wa nzige sio tukio la ajabu nchini Madagaska, hasa baada ya dhoruba za kitropiki, lakini sio kawaida katika miji mikubwa. Nzige wanaweza...
Watu 12 Hufa na Waniger 27,000 Huachwa Bila Makazi Kutokana na Mafuriko
Mvua kubwa na mafuriko nchini Niger yamewaua watu 12 na kuacha maelfu bila makazi. Mito katika Niamey na maeneo ya karibu imefurika na kuharibu maelfu ya nyumba. Katika kanda, uharibifu wa ardhi na kilimo pembezoni mwa ardhi huzidisha hatari ya kwamba matukio yaliyokithiri yanaweza kubadilika kuwa maafa ya asili. Baadhi ya...