makala mpya zaidi zilizoandikwa na Joyce Maina kutoka Disemba, 2013
Kampeni ya “Kabila Langu ni Sudan Kusini” na “Mimi Nachagua Amani”
Kwa kutumia alama ahabari #MyTribeIsSouthSudan na #iChoosePeace, wananchi wa Sudnai ya Kusini na marafaiki wa watu wa Sudani ya Kusini wanatoa mwito wa amani na umoja katika nchi hiyo.
Changamoto za Huduma ya Afya kwa Familia Katika Apatou, French Guiana
Henri Dumoulin, mchangiaji wa Global Voices, anakumbuka kukaa kwake huko Apatou, French Guiana,sehemu iliyoko katika msitu wa Amazon. Anaelezea jinsi gani, kama daktari wa mpango wa ulinzi wa Afya ya...
Kimbunga Haiyan: Hadithi ya Ujasiri Kupitia Filamu Fupi
Kimbunga Haiyan, filamu fupi kwa hisani ya Janssen Powers, inaonyesha hali baada ya dhoruba ambayo mapema mwezi Novemba iliua zaidi ya watu 6,000 katika jimbo la Philippine la Leyte. “Kwa...
Uruguay yawa Nchi ya kwanza Kuhalalisha Soko la Bangi
Baraza la Seneti la Urugwai lilipiga kura 16 kwa 13 kuhalalisha uzalishaji na uuzaji wa bangi.. Rais Mujica anatarajiwa kutia saini sheria, ambayo itakuwa na ufanisi kuanzia mwaka ujao. Estoy...
Brazil: Je Unamuenzi Mandela? Basi Saidia Haki za Binadamu
Bango la kuonyesha heshima kwa Nelson Mandela limechukua umaarufu usiojulikana wa kiongozi wa Afrika Kusini nchini Brazil kwa kuwaita wale ambao wanaenzi urithi wake kusaidia haki za binadamu. Ujumbe huo...
Kudumisha Maadili Muhimu ya Vijana wa Bhutanese
Bhutan imebarikiwa na endelevu, urithi tajiri wa utamaduni na watu wa Bhutanese wana fahari katika kuunga mkono idadi ya maadili muhimu ikiwa ni pamoja na maelewano, huruma na uzalendo. Mwanablogu...
Sababu za Ajali Barabarani Mjini Bangkok
Cha kushangaza, polisi mjini Bangkok, Thailand wanadai kwamba asilimia 30 ya ajali za barabarani husababishwa na ‘magari yasiyostahili kuwa barabarani’ wakati yanayo endeshwa kasi ni asilimia 5 ya ajali. Mwandishi...
Caribbean: Kwaheri, Nelson Mandela
Tangazo la kifo cha Nelson Mandela limepokelewa kwa mshtuko. Wanablogu wa maeneo mbalimbali wanashirikishana mawazo yao kuhusu kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa upinzani kwa njia za amani duniani aliyetutoka.
Wanafunzi 3,000 Wafanya Maandamano dhidi ya Mageuzi ya Elimu Nchini Gabon
Mageuzi ya mfumo wa elimu yaliahirishwa [fr] nchini Gabon baada ya walimu na wanafunzi kuandamana pamoja kwa maandamano. Katika mapendekezo ya mageuzi, mitihani ya mwisho ili kupata diploma ya shule...
Misri: Kampeni kwa Ajili ya Haki za Watu Wenye Mahitaji Maalum
Wamisri pembezoni wenye mahitaji maalum wamekuwa wakifanya maandamano kwa haki zao kabla na tangu mapinduzi ya #Jan25. Hata hivyo, malalamiko yao bado hayajatatuliwa. Wakati Kamati ya watu 50 wanapiga kura...