Joyce Maina · Septemba, 2012

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Joyce Maina kutoka Septemba, 2012

Kenya: Wito wa Mshikamano Baada ya Mashambulizi ya Kigaidi

  30 Septemba 2012

Siku chache kabla ya ufunguzi  wa GV2012 mjini nairobi, Kenya ilikumbwa na milipuko na utekaji nyara huko Mombasa na mjini Garissa. Mlipuko ulitokea katika sehemu ya burudani mnano Juni 24 na kuwauwa watu watatu siku moja baada ya ubalozi wa marekani kuonya mamlaka ya Kenya kuhusu mashambulizi hayo jijini. Umati huo ulikuwa umekusanyika katika kilabu kutazama robo fainali  kati ya Uingereza na Italia.