makala mpya zaidi zilizoandikwa na Ephraim Percy Kenyanito
Namna Huduma ya Kuhamisha Fedha kwa Njia ya Simu Ilivyobadili Maisha ya Wakenya
Wakenya kwenye mtandao wa Twita wanaeleza namna MPesa, huduma ya kufanya miamala ya kibenki kwa kutumia simu za mkononi, ilivyobadili maisha yao tangu kuanzishwa kwa huduma hiyo miaka saba iliyopita
Simu za Bure Kwa Wakulima wa Nigeria?
Wizara ya KIlimo nchini Naijeria imetangaza mpango wake wa kugawa simu za bure za kiganjani kwa wakulima wa vijijini. Mpango huu umezua mjadala mzito kwenye ulimwengu wa blogu nchini Naijeria.