makala mpya zaidi zilizoandikwa na Christine Bellington kutoka Aprili, 2017
Wahindi Waomboleza Kifo cha Kishori Amonkar, Mmoja wa Waimbaji Wakubwa Wa Muziki Wa Jadi Nchini India
"Kuna sauti zenye uwezo wa kugusa hisia na Kishori Amonkar ndio sauti hiyo."
Wakimbizi Nchini Marekani Wadumisha Tamaduni za Kimuziki kwa Nyimbo za Watoto
Msimuliaji wa hadidhi kwenye Kituo cha Makumbusho ya Sanaa cha Erie Art Museumkilicho kwenye jimbo la Pennsylvania, nchini Marekani alikuja na wazo: kuwasaidia wakimbizi kujifunza ujuzi wa kazi wakati akiwasaidia kukumbuka nyimbo zao.