Christian Bwaya · Juni, 2014

Ninajivunia kuwa Mwafrika niliyezaliwa katika nchi isiyounganishwa na lugha za wakoloni bali Kiswahili. Kwa hivyo, pamoja na majukumu mengine, ninaamini kwa dhati kabisa kuwa kuchangia ukuaji wa Kiswahili mtandaoni ni wajibu wangu wa kimsingi ili kuwawezesha wazungumzaji wa Kiswahili kujielimisha na kuhabarishwa kwa njia ya mtandao wa intaneti.

Anwani ya Barua Pepe Christian Bwaya

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Christian Bwaya kutoka Juni, 2014

Tovuti 50 Zilizotembelewa Zaidi Nchini Kenya

Twiti za Moja kwa Moja za Kesi Dhidi ya Mwanasheria wa Haki za Binadamu na Mwandishi wa Habari Nchini Swaziland

Solana Larsen Aachia Ngazi kama Mhariri Mtendaji, Sahar Habib Ghazi Apokea Kijiti

Mabadiliko ya sura kwenye safu ya Uhariri. Mhariri Mtendaji Solana Larsen anapokelewa na aliyekuwa Naibu Mhariri, Sahar Habib Ghazi.

Taarifa ya Maendeleo ya Kiteknolojia Barani Afrika

Maneno Yasiyotafsirika Yafafanuliwa kwa Michoro