makala mpya zaidi zilizoandikwa na Mghosya
TAZAMA/SIKILIZA: Kupambana na miiko inayozuia utoaji mimba
Ulikosa matangazo mubashara ya kipindi cha Global Voices Insights cha Aprili 7 kuhusiana na masuala ya haki za kutoa mimba katika nchi tano? Tunakirudia hapa.
Global Voices imetimiza miaka 15!
Wakati huu tunapotumiza miaka 15, tunachukua fursa hii kuwashukuru waandishi wetu mahiri waliosambaa duniani kote na wasomaji wetu waaminifu na washirika wetu kwa kuipa Global Voices nguvu na uwezo wa kuendelea kusonga mbele!
Bundi Agoma Kuondoka kwenye Bunge la Tanzania. Maana yake nini?
Bundi alionekana bungeni kuashiria mabadiliko ya sheria yanayolenga kudumaza sauti mbadala nchini Tanzania. Je, inawezekana bundi huyo ni ishara ya kifo cha demokrasia nchini Tanzania?
Ungana na Global Voices Julai 9 Kupinga Kodi ya Mitandao ya Kijamii Nchini Uganda

Uhuru unapatikana bure, hautozwi kodi. Global Voices inaunga mkono kampeni ya kupinga kodi ya matumizi ya mitandao ya kijamii nchini Uganda #NotoSocialMediaTax.
Tovuti huru maarufu nchini Tanzania zafungwa kufuatia ‘kodi ya blogu’

"Hii sio tu ni leseni ya kujidhibiti mwenyewe lakini pia ni namna ya kuwa nyenzo ya serikali kuwafuatilia haki ya kiraia ya wengine (wachangiaji) kujieleza."