Agnes Kimulu · Juni, 2012

makala mpya zaidi zilizoandikwa na Agnes Kimulu kutoka Juni, 2012

India: Kipindi cha Runinga cha Aamir Khan Chaweka Wazi Masuala ya Kijamii

  23 Juni 2012

Kipindi kipya cha maongezi kwenye televisheni nchi India kinachoitwa Satyamev Jayate (Ni Ukweli tu Utakaoshinda) kinachoendeshwa na muigizaji na mtengeneza filamu wa Bollywood, Aamir Khan kinaleta na kujadili miiko na masuala moto moto ya kijamii ambayo yanawanasa na kuwavutia WaHaindi wengi zaidi na zaidi. Wananchi wa kwenye mtandao wanatoa maoni yao.