Habari kutoka Januari, 2022
Julai 7 yatengwa ili kusherehekea siku ya Kiswahili, mradi mpya wa kuelewa tofauti za kilahaja katika lugha hii wazinduliwa
"Umuhimu, historia na nafasi ya lugha ya Kiswahili bado havijulikani kwa watu wengi duniani na utambuzi huu unaweza kutusaidia kujifunza zaidi kuhusu lugha hii – labda inaweza pia kuwavutia watu kujifunza!"