Habari kutoka Juni, 2019
Binyavanga Wainaina Mwandishi wa Kenya, Aliyeifundisha Dunia ‘Namna ya Kuandika Kuhusu Afrika’, Afariki Akiwa na Miaka 48
"Kuna Binyavanga Wainaina mmoja tu. Sasa ni mhenga. Tusherehekee maisha yake." Dunia inaomboleza kupotea na kuheshimu maisha ya mwandishi mashuhuri wa Kenya.
Angola Yakabiliana na Tuhuma za Ubadhilifu kwa Kufuta Zabuni, Serikali Yadaiwa Kugawanyika
kampuni ya Telstar ilianzishwa mwzezi Januari 2018 na mtaji wa Kwanza 200,000 (sawa na dola za kimarekeni 600), na mdau mkubwa ni general Manuel João Carneiro.
Vyombo Vya Habari Vya Serikali Vinamshambulia Mwanafunzi wa Shule ya Upili Ambaye Aliikosoa Serikali
Nagy amevumilia ukosoaji dhidi ya uelewa wake na hata udhalilishwaji wa kijinsia, wakati ambapo chombo kimoja kinachoiunga serikali kilimtukana matusi ya nguoni.