Julai, 2017

Habari kutoka Julai, 2017

Mwanahabari wa Mexico Asema ‘Hapana Kwa Ukimya’

Uhuru wa wa vyombo vya habari umeendelea kukutana na changamoto inayoibuka duniani kote. Nchini Mexico, hatari ya kutoa habari imefikiwa viwango vipya. Mamlaka zenye nguvu- kuanzia kwa maafisa wa serikali, kwa wasimamizi wa sheria, mpaka kwa wakuu wa magenge ya wauza dawa za kulevya kwa zamu na kwa utaratibu maalum...