Habari kutoka Machi, 2016
Namna Vyombo vya Habari Nchini Ghana Vinavyotumia Mitandao ya Kijamii
Shirika lisilo la kibiashara nchini Ghana, Penplusbytes, limetoa Ripoti yake Viwango vya matumizi ya Mitandao ya Kijamii kwa Vyombo vya Habari nchini Ghana.
Soga la “Twita” Laibua Hali ya Ukame Mbaya Kuwahi Kutokea Nchini Lesotho
"tatizo linaendelea kuwa kubwa, kwa hivyo inatubidi kukabiliana nalo kwa kutafuta ufumbuzi wa muda mrefu, sio kugawa cakula pekee."
Mwanaharakati wa Haki za Binadamu na Kiongozi wa Jamii za Wazawa Berta Cáceres Auawa nchini Honduras
Baada ya miaka kadhaa ya uanaharakati wa masuala ya mazingira na kuzitetea jamii za wazawa, mtetezi nguli wa haki za binadamu Berta Caceres ameuawa nchini Honduras hii leo.
Mchora Katuni Snoggie Achambua Siasa za Uganda kwa Kutumia Ucheshi
Snoogies, mchora katuni wa Uganda, anatumia sanaa na vichekesho kuchambua masuala ya siasa za nchi hiyo
Wachoraji Wazindua Kampeni ya Mtandaoni Kushinikiza Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Malaysia
"Tunaona kuwa muda umewadia kwa raia wa Malasia kudai uhuru wa vyombo vya habari na utumiaji wa mtandao wa intaneti kufuatia matukio ya kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari nchini Malasia"
Wajapani Wanajamiiana?
Ni kwa kiasi gani wajapani wanajamiana, na pia, kujamiana ndio kutasaidia kuongeza kiwango cha kuzaliana?