Habari kutoka Januari, 2016
Waganda Wamchimba Rais Wao Museveni Kwa Picha za Miaka 30 Iliyopita!
Wakati Rais Museveni anatafuta kuchaguliwa tena kuwa rais kwa awamu ya sita, wa-Ganda wanakumbushana walikokuwa miaka hiyo -- na kutokurishwa na siasa za nchi hiyo.