Habari kutoka Julai, 2015
Edom Kassaye: Mwandishi wa Ethiopia Aliyefungwa Gerezani kwa Uwajibikaji Wake
"Ninaamini kuwa ilikuwa nidhamira chanya ya Edom ya kuleta mageuzi sahihi ya siasa hafifu ya Ethiopia ambayo pia ilipelekea yeye kuwa karibu zaidi na wanajumuia wa kublogu wa Zone9. Taratibu zetu ziliwiana"
Kwenye Jiji Lenye Machafuko Zaidi Duniani, Wasanii wa Uchoraji Kuta Watumia ‘Silaha zao’ Vizuri
San Pedro Sula, Honduras, limechorwa kuwa ni jiji ambalo limekuwa na machafuko kuliko jiji lingine lolote duniani kwa muda wa miaka minne mfululizo. Wasanii wa uchoraji kuta wanamategemeo ya kubadili hali hii kwa michoro ya picha za rangi za kupuliza pamoja na ubunifu wao.