Habari kutoka Machi, 2015
Makampuni ya Teknolojia Nchini Kenya Yaliyofadhiliwa Mwaka 2014
Je, unayajua makampuni ya teknolojia nchini Kenya yaliyopata ufadhili kwa mwaka 2014? Erik Hersmann anayaorodhesha kwenye blogu yake: Fedha za mtaji wa awali Angani – Huduma za mtandao wa umma...
Shambulio la Kigaidi Laua Watu Watano Mjini Bamako
Shambuliko la kigaidi lilitekelezwa kwenye mgahawa jijini Bamako, makao makuu ya Mali, limechukua maisha ya watu watano usiku wa siku ya Ijumaa mnamo Machi, 6. Shambulio hilo lilifanyika usiku wa...
Picha za Kusikitisha za Watoto wa Kifilipino Wanaofanya Kazi Migodini
"Ni miaka minne sasa tangu nilioacha shule. Niliweza kufika darasa la sita peke yake na hapo nililazimika kuachana na masomo ili nikafanye kazi".