Habari kutoka Machi, 2014
Mwanamke wa Misri: “Funga Mdomo Wako Obama!”
Tazama video hii ya mwanamke wa Kimisri akimwomba Rais wa marekani Barak Obama 'kufunga mdomo wake' ambayo inasambaa mtandaoni.
Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Sudani Kusini Akana Jaribio Mapinduzi ya Kijeshi
Mkuu wa upelelezi wa jeshi nchini Sudani Kusini amekana kuwa kulikuwa na jaribio la mapinduzi ya kijeshi tarehe 15 Desemba, 2013. PaanLuel Wel anaripoti: Taarifa kutoka Juba zinasema mkuu wa...
Walebanoni Wazindua Kampeni ya Kuwatetea Wasyria Dhidi ya Ubaguzi wa Rangi
Watu wa Lebanon wameshikamana kutoa mwito wa kumaliza ubaguzi wa rangi dhidi ya wakimbizi wa Wasyria wanaoishi nchini humo, anaandika Joey Ayoub. "Nyumbani kwetu, ni kwenu," wanasema.
Wanawake wa Sri Lanka na Mbinu za Kuzuia Mimba
Mwandishi, Mpiga picha na mwanablogu Meg at Life in Lanka anaripoti kuwa kwenye sehemu za vijini nchini Sri Lanka baadhi ya wanawake hawana kauli kuhusu aina ya mpango wa uzazi...
Ufisadi Nchini Nepal: Umeanza Kuwa Tabia Inayokubalika Kijamii?
Watu wana hasira na wamechoka, na mashirika ya habari mara nyingi huchapisha habari kuhusu uhusiano kati ya viongozi wa kisiasa na wezi wa mali za umma lakini hakuna anayezungumzia kuingia...
Mlipuko wa Homa ya Ebola Waua Watu 59 Nchini Guinea
Mlipuko wa homa ya Ebola umeua watu wasiopungua 59 nchini Guinea na matukio kadhaa yanayohofiwa kuwa ya homa hiyo yamekaribia kwenye mjini mkuu Conakry hiyo ikimaanisha kuwa ugonjwa huo unaweza...
Kurudisha Mabaki ya Miili ya Binadamu tu Haitoshi, Ombeni Radhi, Namibia Yaiambia Ujerumani
Mabaki ya watu waliouawa wakati wa vita vya kikoloni (kwenye karne ya 20) yalirudishwa Namibia na Ujerumani mwezi Machi. Hata hivyo, Wanamibia bado wanadai tamko rasmi ya kuomba radhi kutoka...
Twiti ya kwanza kutoka kwa Rais wa Madagaska
Rais mteule wa Madagaska Hery Rajaonarimampianina amefungua akaunti yake ya mtandao wa twita mnamo tarehe 23 Machi, 2014. Hii ndiyo twiti yake ya kwanza : Kuna uwezekano mkubwa kuwa hiyo...
Misri Yawahukumu Kifo Wafuasi 529 wa Muslim Brotherhood
Misri leo [Machi 24] imewahukumu kifo wafuasi 529 wa chama cha 529 Muslim Brotherhood kw akuhusiaka kwenye ghasia na vurugu zilizotolea Minya, kaskazini mwa Misri , mwezi Agosti mwaka jana.
Watumiaji wa Huduma ya Tor Waongezeka Nchini Uturuki
Mtetezi wa haki za binadamu na maadili Frederic Jacobs anabainisha kuwa idadi ya watu wanaotumia huduma ya Tor imeongezeka nchini Uturuki: Matumizi ya huduma ya Tor yako juu. Watu. > 35...