Habari kutoka Agosti, 2013
Mapigano Yalipuka Msikitini Baada ya Mhubiri Kumlaani el-Sisi
Mapigano, yaliyowekwa kwenye mtandao wa YouTube, yamesambazwa sana na kuzua gumzo kubwa mtandaoni.
Iran: Mwanablogu Aliyefungwa Jela Afanya Mgomo wa Kutokula
Hossein Ronaghi Malki mwanablogu anayetumikia kifungo cha miaka 15 jela alianza mgomo wake wa kutokula kuanzia wiki iliyopita. Kwenye mtandao wa Facebook kampeni imeanzishwa yenye lengo la kummwuunga mkono.
Makanisa Yashambuliwa Nchini Misri
David Degner aweka picha kutoka makanisa yaliyoshambuliwa na kuchomwa katika sehemu iitwayo Mallawi, Minya, Misri ya Juu hapa. Anaandika: Siku ya Ijumaa makanisa mawili katika kijiji cha Mallawi, jimbo la Minya, yalishambuliwa na...
PICHA: Makanisa Yanalia Nchini Misri
Kufuatia kuchomwa kwa makanisa, msichana mdogo katika Misri ya Juu alichora picha hii iliyonifanya nitiririkwe na machozi: pic.twitter.com/iymw3SF49R — daliaziada (@daliaziada) Agosti 15, 2013 Mtetezi wa haki za wanawake nchini Misri Dalia Aziada...
Serikali ya Uzbeki Yatafuta Namna ya Kudhibiti Wanablogu
Serikali nchini Uzbekistan inatafuta namna ya kutumia hatua kali za kudhibiti wanablogu wa nchi hiyo. Alisher Abdugofurov kwenye Registan.net anajadili sababu ya kutokea hali hii katika jamii ambayo haina wanablogu wengi wa...
China: Kisasi au Haki?
Kashfa ya ngono ya hivi majuzi inayowahusisha majaji wawili maarufu wa Shanghai iliwekwa hadharani na mfanyabiashara Ni Peiguo anayeamini kuwa mmoja wa majaji hakutoa hukumu ya haki katika kesi ya kampuni anayohusika nayo. Alichukua uamuzi...
Iran: Waziri Mpya wa Kigeni Yupo Kwenye Mtandao wa Facebook
Waziri mpya wa Uhusiano wa Kimataifa wa Iran Mohammad Javad Zarif ana ukurasa wa Facebook ambapo huutumia kujibu maswali. Anasema “Mimi na watoto wangu huuhuisha (kuweka habari mpya) ukurasa huu.” Ukurasa...
Zimbabwe: Robert Mugabe Ashinda Uchaguzi, Atuhumiwa Kuiba Kura
Daftari la wapiga kura la Zimbabwe lilisemekana kuwa na watu milioni mbili waliokufa. Botswana imetoa wito wa kukaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi.