Habari kutoka Julai, 2013
Hali ya Uislamu Katika Asia ya Kusini
Murray Hunter wa Chuo Kikuu cha Malaysia Perlis anajadili hali ya jamii ya Kiislamu katika Asia ya Kusini pamoja na masuala yanayohusiana na kukua kwa Uislamu katika eneo hilo. Umaskini, kujua kusoma na...
Tamko la Kurekebisha Sheria Zinazokwaza Uhuru wa Vyombo vya Habari Nchini Vietnam
Zaidi ya wanablogu 60 wa Ki-vietinam walitia saini tamko la pamoja kuitaka serikali ya Vietnam kuboresha rekodi ya haki za binadamu na ahadi wanapowania uanachama katika Baraza la Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu:...
Barua ya Wazi ya Kushinikiza Kuachiwa Huru kwa Mwanasheria
Mnamo Julai 23, 2013, zaidi ya raia 400 wa China wamesaini barua ya kushinikiza serikali ya China kumuachia huru Xu Zhiyong, ambaye ni mwanasheria mashuhuri na mpigania haki aliyekamatwa mnamo...
Maandamano ya Kudai Uchaguzi nchini Madagaska Yasababisha Vurugu
Blogu ya Vola R ya Ma-Laza inaandika kwamba watu 7 walijeruhiwa [fr] kufuatia matumizi ya nguvu yaliyofanywa na polisi dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai kufanyika kwa uchaguzi mjini Antananarivo, Madagaska. Chama...
Mwana-Habari Menna Alaa Ashambuliwa na Wafuasi wa Morsi
Mwanablogu na mwanahabari wa video Menna Alaa leo hii ameshambuliwa na waandamanaji wenye hasira wanaomwunga mkono Morsi. Mwanablogu huyo ameweka ushuhuda wake kwa lugha ya kiingereza kwenye makala hii iliyo...
Peru: Mchezaji wa Kandanda Afariki Dunia Uwanjani
Dakika tano kabla ya kumalizika kwa mchezo kati ya timu zaReal Garcilaso na Sporting Cristal, mchezaji nyota wa timu ya Sporting Cristal mwenye miaka 18 Yair José Clavijo alipata mshituko...
Wanawake Watatu Wauawa katika Maandamano ya Kumtetea Morsi
Waandamanaji wanaomuunga mkono Morsi wameshambuliwa na mahuni huko Mansoura, tukio lililopelekea wanawake wasiopungua watatu kuuawa pamoja na makumi mawili wengine kujeruhiwa. Watumiaji wa mtandao wameonesha hisia zao kufuatia shambulio hilo.
Shindano la Wanablogu wa Kiafrika wenye Fikra Pevu.
Mtandao wa Africa Brains watangaza Shindano la Wanablogu wa Kiafrika Wenye Fikra Pevu watakaowania kitita cha dola Hamsini ($50). Ni muda muafaka wa kutangaza mada ya kwanza, ambayo ni “Teknolojia...
India: Chakula Chenye Sumu Chaua Watoto 24
Chakula kilichoua wanafunnzi na kuwaacha wengine katika hali mbaya kinasadikiwa kuwa kilichanganyikana na dawa ya kuulia wadudu. Tukio hili linaibua maswali kuhusiana na ubora wa chakula cha mchana wanachopewa wanafunzi wanaotoka katika familia masikini.
Watu Sitini Wauawa Kwenye Mapigano Mjini Nzérékoré, Guinea
Tovuti ya Guinee News inaripoti idadi ya vifo kufikia 60 kutokana na mauaji ya Nzérékoré, Guinea [fr] : Les cinquante deux corps qui étaient non identifiables ont été enterrés dans une...