Habari kutoka Septemba, 2010
India: Marufuku Kutuma Ujumbe wa Simu za Mkononi wa Jumla
Rajesh Jain kwenye Emergic analaumu kupigwa marufuku utumaji wa jumla wa ujumbe wa simu za mkononi pamoja na ujumbe wa media-anuai ili kuzuia uhamasishaji umma kabla na baada ya hukumu...
Zambia: Furaha ya kufanya Kazi na jamii za Vijijini Huko Zambia
Rakesh Katal anaeleza furaha na changamoto za kufanya kazi na jamii za huko Zambia vijijini.
Jamaika: Banton Ajitayarisha Kwenda Mahakamani
YardFlex.com anaifuatilia kesi ya umiliki wa madawa ya kulevya inayomkabili Buju Banton na ambayo itaendeshwa siku ya Jumatatu huko Marekani. Kutokana na taarifa zinazosema kwamba washtakiwa wenzake wawili wameamua kuwa...
Africa: Waafrika Wasimulia Kumbukumbu Zao za Utotoni
That African Girl ni blogu yenye mfululizo wa makala zilizoandikwa na Waafrika kutoka dunia nzima kuhusu maisha ya utotoni. Ni blogu inayoelezea kuhusu makuzi katika familia za Kiafrika na uzoefu wa kuishi katika tamaduni mbili.
Bahraini: Ali Abdulemam, mwanablogu na mchangiaji wa Global Voices akamatwa
Ali Abdulemam, mwanablogu maarufu wa nchini Bahraini na mwandishi wa Kitengo cha Utetezi cha Global Voices, amekamatwa mapema leo na mamlaka ya nchi ya Bahraini kwa kile anachotuhumiwa nacho kwamba...
Msumbiji: Maputo katika Hali ya Tahadhari Kutokana na Machafuko
Jiji la Maputo lipo kwenye hali ya tahadhari wakati machafuko yakisambaa kutokana na kupanda kwa bei ya mkate, maji na umeme. Wakazi wanataarifu kuwepo kwa vurugu mitaani huku hali ikizidi kuwa mbaya.