- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

TAZAMA/SIKILIZA: Kupambana na miiko inayozuia utoaji mimba

Mada za Habari: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, Amerika Kusini, Asia Mashariki, Asia ya Kusini, Ulaya Mashariki na Kati, Brazil, Pakistan, Poland, Thailand, Uganda, Afya, Haki za Binadamu, Sheria, Uandishi wa Habari za Kiraia, Wanawake na Jinsia, GV Insights

Mwezi Desemba mwaka jana, dunia yote ilijielekeza nchini Argentina ambako utoaji mimba uliruhusiwa rasmi kisheria nchini humo. Lakini je, ni kwa kiwango gani wasichana na wanawake wanalazimishwa kuwa wazazi katika sehemu nyingine duniani?

Tazama [1] au sikiliza [2] kipindi hiki cha Global Voices Insights (kilichoruka hewani mubashara tarehe 7 Aprili), ambapo mhariri wetu wa Amerika Kusini Melissa Vida [3] anafanya mazungumzo kuhusu haki za uzazi na wataalam na wanaharakati wafuatao:

globalvoices [4] · Breaking The Taboo On Abortion: Perspectives From Uganda, Thailand, Brazil, Pakistan & Poland [2]