Habari kutoka 7 Septemba 2020
‘Hakuna kupiga Kura Mpaka Barabara Ijengwe': Sababu ya Wanakijiji cha Goa Kususia Uchaguzi Mkuu wa India
Barabara mbaya, ukosefu wa huduma za maji na umeme ziliwasukuma Wagoha hawa kugomea uchaguzi unaoendelea huko Lok Sabha katika kijiji cha Marlem.
Waandishi Wa Habari wa Msumbiji Waachiwa Huru Baada ya Kukaa Kizuizini Kwa Miezi Kadhaa Bila Kufunguliwa Mashtaka
Amade Abubacar na Germano Adriano walikuwa kizuizini tangu Januari lakini walishtakiwa tu hapo Aprili 16. Kwa sasa wanasubiri shauri lao lisikilizwe wakiwa chini ya uangalizi.