Habari kutoka Aprili, 2019
Wanachama Vigogo wa Vyama vya Upinzani Tanzania Wanahamia Chama Tawala
Hivi karibuni, wanaohama chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, ni pamoja na wabunge wanne, madiwani 75 na wenyeviti wa vijiji kadhaa wote wamejiunga na chama tawala, CCM.
Wanablogu wa Mauritania Wakabiliwa Mashtaka ya Kukashifu kwa Kutoa Taarifa ya Rushwa
Waendesha mashtaka wa serikali wawashtai wanablogu wawili kwa kusambaza taarifa zinasemekana kuwa za uongo juu tuhuma za rushwa dhidi ya Rais wa Mauritania.
Osama Al-Najjar Mwanaharakati wa Falme za Kiarabu ‘Anasota’ Jela Miaka Miwili Zaidi Baada ya Kumaliza Kifungo Chake
Al-Najjar alikamatwa kwa sababu ya ujumbe wa mtandao wa Twita wenye wito wa kuachiwa huru wafungwa wote waliofungwa kwa kutoa maoni Katika Falme za Kiarabu.
Nchini Burundi Kuchorachora Picha ya Rais —ni Kosa la Kukupeleka Jela
"Kama ningefanya katika Burundi ya Nkurunziza, ningeweza kufungwa jela."