Habari kutoka 30 Julai 2018
Waganda Wasema Hapana Dhidi ya Kodi ya Mitandao ya Kijamii Kwa Sababu Inawanyonya Wanawake, Vijana na Maskini

Waganda wanasema #HapanaKwaKodiYaMitandaoKijamii kwa sababu iko kinyume na katiba, inaongeza umasikini, inawalenga vijana na inakuza ubaguzi katika jamii.