Habari kutoka 13 Julai 2018
Serikali ya Cambodia Yasema Uchaguzi Ujao Utahusisha Watu Wengi na Utakuwa Huru na Haki—Lakini Asasi za Kiraia Zinasema Vinginevyo
Serikali imevunja chama kikuu cha upinzani, kuweka vizuizi kwa waangalizi wa uchaguzi, panua udhibiti wake juu ya mitandao ya kijamii na kufungua mashtaka ya kodi dhidi ya vyombo vya habari vinavyokosoa serikali.