Habari kutoka 9 Julai 2018
Ungana na Global Voices Julai 9 Kupinga Kodi ya Mitandao ya Kijamii Nchini Uganda
Uhuru unapatikana bure, hautozwi kodi. Global Voices inaunga mkono kampeni ya kupinga kodi ya matumizi ya mitandao ya kijamii nchini Uganda #NotoSocialMediaTax.
Mwandishi wa Habari Mlebanoni Pamoja na Kutokuwepo Ahukumiwa Kifungo, ‘Kwa kumkashifu’ Waziri wa Mambo ya Kigeni kupitia Facebook
Akiishi kama mkimbizi nchini Uingereza, Fidaa Itani anasema hukumu hiyo inatamatisha enzi za uhuru wa kutoa maoni nchini Lebanon.
Waganda Wafanya Maandamano ya Amani Mitaani kwa Kuchoshwa na Mauaji ya Wanawake
"Kwa hiyo naandamana, niwakumbuke, hawakupewa haki yoyote na hakuna aliyekamatwa kwa ajili ya vifo hivi vya kutisha. Lakini nawathamini."