- Global Voices in Swahili - https://sw.globalvoices.org -

Jina Lako Linaonekanaje kwa Alfabeti Mpya za Kilatini Kazakhstan?

Mada za Habari: Uandishi wa Habari za Kiraia

A table showing the new Kazakh alphabet, as published on the presidential website.

Tovuti [1] ya kikazakhstan inaonyesha watumiaji jinsi majina yao yataonekana kwa alfabeti mpya za kilatini ambazo zitaanzakutumika mwaka 2022. Wengi wameshangazwa baada ya majina yao kuwa na apostrofi.

Jina langu kwenye lugha mpya ya Kazakh linaonekana kuwa Qrystc'a'n Blo'yr. :((((( Angalia jina lako hapa:

Alfabeti tisa kati ya thelathini na mbili zina apostrofi, na kuacha wale chache zisizoweza kubadilika kwa kilatini kutoka kicyrill [4] kwa kituruki kujutia hatua hiyo.

Sio kwamba wananchi wa nchi ya kisiasa hawakushirikishwa: hatua hiyo ni mawazo ya Rais wa kisasa mwenye kujitegemea Nursultan Nazarbayev, 77.

Baada ya Rais Nazarbayev kutangaza maandalizi ya mabadiliko hayo ambayo utaona Kazakhstan sasa itakua imeandikwa Qazaqstan kwa kikazakh, “the humble Kazakh carrot” ikawa mjadiliano motomoto kwenye mitandao ya kijamii.

Kama kwenye makala ya gazeti la The Economist ilivyoeleza, [5] kuna sababu ya kuepuka baadhi ya matamshi ya alfabeti za kilatini kama zile ambazo zinaelea:

Delighted critics pointed out that the rendering of the Kazakh word for carrot in that alphabet would have been saebiz, which looks a bit like a transliteration of the Russian for “f**k off”.

Wakosoaji wanadai kwamba kutumia neno Kazakh kumaanisha karoti isingekuwa sahihi, kwa sababu inaonekana kufanana na neno la ki-Rusi lenye kumaanisha matusi.

Serikali ya kirusi imeeleza kuwa mabadiliko haya yatakua na maneno ambayo yanaweza kuwakwaza [6] watu wengi wenye ujuzi wa kirusi.

Pengine baadhi ya mabadiliko hayo hayakwepeki, na alfabeti za Kicyril zitabakia kama chaguo la mamilioni ya waongeaji wa kirusi nchini humo. Lakini suala la uenezi wa apostrofi kwa kikazagh linafaa kubakia.

Kwa jiyo Nazarbayev alisema ni wakati wa kukubaliana na toleo jipya la alfabeti za KZ. Haijakaa vizuri na ina apostrofi.

Ili kupata wazo la kinachowatisha wakazakh, Global Voices tukajiingiza kwenye kilatini-kicyril-kikazakh kilatini alfabeti ili kuona jinsi kama tungetokea kwenye upande mwingine.

Njia ni rahisi. Kwanza fikiria jina lako litaonekanaje kwenye cheti chako cha kuzaliwa kama ungezaliwa Kazakhstan, ambayo ni sehemu ya muungano wa kisoveti kabla ya mwaka 1991.

Kufanya hivyo, tumia kibadikishaji cha kilatini kwenda kicyril kama kinachopatikana kwenye kibodi ya lugha nyingi. Kisha tumia kibadilishi cha Lexilogos “multilingual keyboard” [9]. Then use the Cyrillic kicyril kwenda kilatini cha kikazakh [1] ili kujua jina lako litakua na apostrofi ngapi.

Juan Tadeo [10], mwenye mamlaka ya mambo yote yanayotokea Mexico atakua Хуан Тадео kwa kicyril. Lakini kwa kilatini cha kikazakh atakua Hy'an Tadeo, apostrofi moja kama ladha ya kichina.

Apostrofi zikapata mashiko pale ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa Global Voices Georgia Popplewell [11], au Djordji'i'a Poppely'ell alipojiunga. Na zikafika hadi Uganda kwaPrudence Nyamishana [12] (Pry'dence Ni'ami's'ana).

Ukiwa na maswali, hata hivyo, Mkurugenzi wetu wa Lingua wa Global Voices Mohamed ElGohary [13] Hata hivyo cha ajabu, Mkrugenzi wa Global Voices Lingua Mohamed ElGohary nae akaingia kwenye supu ya alfabeti bila kujitambua. Inaonekana kuna sababu ya yeye kuwa mkuu wetu wa tafsiri…