Habari kutoka 17 Machi 2017
Wewe ni Mwanasiasa Mbovu Mexico? Unaweza Kurushiwa Nyanya Usoni
Mwanahaakati na mtumishi wa umma wa zamani nchini Mexico anaongoza kampeni isiyozoeleka ya kuwa kuchafua nyuso za wanasiasa kama namna ya kuonesha kutokuridhika na mienendo yao